Wednesday, 17 April 2024

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI TASAC

David Kihemile Naibu Waziri wa Uchukuzi  ameipongeza Tasac kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kulinda usalama wa majini na utunzaji wa mazingira na usimamiaji wa meli zinapoingia nakutoka nchini.

Semina ya siku mbili walio isimamia na kuratibu ambakoimejumuisha nchi mbalimbali ikiwemo nchi ya Kenya, Uganda,Senegal,Kongo pamoja na yenyewe Tanzania  semina hii imejumuisha wadau wa vyombo vya majini Tanzania tutajifunza mambo mengi . 

Kwaupande mwengine serikali ya Tanzania kupitia wizara ya uchukuzi imewekeza kiasi cha fedha tilioni moja kwaajili ya kuboresha vyombo vya majini ikiwemo ujenzi wa meli ziwa Victoria pamoja na kulekebisha meli kwenye maziwa mengine.

Pia ujenzi wa vivuko na ununuzi wa vivuko kwenye maeneo mengine amesema haya wakati akifunga semina ya siku mbili ya madau wa majini today nchi mbalimbali iliyofanyika ukumbi wa mwalimu nyerere posta jijini dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment