Wednesday, 17 April 2024

VETA YATA MAFUNZO

 Mwalimu Salehe wa Chuo cha Veta ametoaa mafunzo kwa walimu wa vyuo vya Ufundi lengo kuwapa ujuzi wa namna bora ya kufundisha wanafunzi finding wanapojiunga na vyuo vya ufundi.

Ambako wilaya ya temeke walimu wengi wamejitokeza huku akitoa wito kwa walimu haha kuwapokea na kuwafundisha  maswala  ya fundi watu wenye ulemavu kwani wanauwezo mkubwa wa kufundishika.

Mfano chuo cha veta chang'ombe dar es salaam wanatoa mafunzo ya ufundi  kwa walemavu wa aina zote na kwaupande wao walimu waliopokea mafunzo haya kupitia mwenyekiti wa darasa Lao wameaidi kupitia mafunzo haya watawapokea na kuwafundisha watu wenye ulemavu kwenye vyuo vyao

Pia watakuwa mabalozi kwakuwaimiza wazazi na walezi kuwapeleka watu wenye ulemavu kwenye vyuo vya ufundi.

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment