Thursday, 18 April 2024

MKURUGENZI SANTINA BENSON AAIDI MAKUBWA KWA WANAWAKE

 


Mkurugenzi wa Taasisi ya Thank Equal, Lead Smart Leadrship has no gender Santina Benson amesema mradi waliouzindua Leo hii  wa miaka mitatu3 wenye lengo la kuwainua wanawake kushika nafasi za uongozi katika sekta binausi na serikalini utasaidia kwa kiasi kikubwa na kuwezesha  kuwepo kwa mabadiliko ya sera za wanawake kuongoza .

Kubadili mira na nadesturi potofu kuwa wanawake awawezi kuwa viongozi ambako jambo ili sio la kweli na kuwawezesha wanawake kujikwamuwa kiuchumi  mfano kwenye sekta ya kilimo na zinginezo.

Santina Benson ametaka sekta binaus na wadau wengine wawaunge mkono kwenye mradi wao huku akiwashukuru Vodacom kwa kuweza kutoa kiasi cha fedha milioni 200 katika mradi waliouzinduwa Leo.          Swala la kuwafikia watu wenye ulemavu ili wawe viongozi wakubwa wamelibeba na kuaidi kulifanyia kazi ,amesema haya kilimanjaro hotel jijini dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment