Monday, 28 February 2022

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AWATAKA WANAHABARI KUZINGATIA UWEREDI

 Jumanne Sagini Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani amewataka wanahabari wazingatie Uweredi wanapo andika na kutangaza habari za barabarani lengo kuelimisha Jamii namna ya matumizi Bora ya barabara na kuandika takkwimu sahihi. Ili kuepusha mkanganyiko na kuondoa Ofu Kwa jamii.

Ametoa wito Kwa watu wenye Ulemavu kutumia fimbo nyeupe na watu WA Dati kuendelea kuzingatia mazingira wezeshi na rafiki Kwa watu wenye Ulemavu. Pia swala la maandishi ya nukta nundu kwaajili ya watu wasio Ona Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Jumanne Sagini amesema amelibeba na atalifanyia kazi.

Habari na Ally Thabiti Mbungo

BI AISHA AITAKA JAMII KUBADILIKA


 Aisha Mtwangi Mtaalam wa Mawasilihano na Mwanaharakati wa ya Uzazi na Malezi Bora  amewataka watanzania na wasio watanzania kuzingatia Mafunzo ya vitabu vya dini zao ,Lengo kuondokana na ndoa za utotoni,kupinga vipigo Kwa Akina mama na kuzingatia Afya ya Uzazi.

Mwanaharakati Aisha Mtwangi amesema Malezi Bora ni muhimu kwani watu wataondokana na ukatoli mbalimbali .amewataka Wanawake wajiendeleze kimasomo ili wawe na mafanikio na Maendeleo.

Habari picha na Ally Thabiti

JESHI LA POLICI LAWATIA MBALONI WEZI WA MATANDAONI


 Mkuu wa  Jeshi la Police Kanda Maalum Dsm Kamanda Jumanne Mulilo amesema wamewakamata watu Kimi na mbili wakiwa na raini za simu za Aina mbalimbali na nyaraka tofauti tofauti pamoja na SIM ambako watuumiwaawa waliokuwa wanawaibia watu pesa Kwa kujifanya wao ni mawakala wa mitandao ya SIM .

Amewataka watu walioibiwa waende kituo cha ostabei police kwaajili ya taarifa mbalimbali pia Jeshi la Police limewakamata Wakongo Mani 2ambao waliiba kiasi cha Fedha za kimarekani Dola elfu tatu  na kompyuta mpakato nne pamoja na  ereni .

Kamanda Jumanne Mulilo amewatoa OFU wageni kuwa Dsm nishwari . Kwa upande mwingine Jeshi la Police limeokoa magari mawili yaliokuwa yameibiwa  

Na limemtial mbaloni Mkazi wa chamanzi Kwa kumpiga mtoto.

Habari picha na Ally Thabiti

MBUNGE TUMAIMI MAGESSA ABAINISHA MIKAKATI


 Mbunge Tumaimi  Magessa amesema Katika Jimbo lake wataakikisha wanaweka mazingira wezeshi Kwa upande wa miundombinu ya barabara na umeme  kwaajili ya wawekezaji wa Madini na wengineo.

Mbunge Tumaimi Magessa amewaakikishia wananchi wa Jimbo la Busanda Fedha zinazopatikana kwenye Madini zitaendelea kutatuwa changaoto

Wednesday, 23 February 2022

WAZIRI MKUU AIPA TANO WIZARA YA MADINI

Waziri Mkuu Majaliwa kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Madini Kwa kuweza kutatuwa Changamoto za wachimbaji wa Madini na kuweka mazingira rafiki na wezeshi. Pia amewatoa hofu watu WA mabenk wawakopeshe wachimbaji wa Madini.

Nae Kwa upande wake Waziri wa Madini dr Dotto Biteko amewaakikishia wachimba Madini mazingira a uwekezaji ni rafiki Tanzania na changamoto zinazowakabili wachimbaji wa Madini zimefanyiwa kazi na zingine zinafanyiwa kazi.

Habari na Ally

MWENYEKITI WA FEMATA AWASILISHA KILIO CHA WACHIMBA MADINI KWA MAKAMU WA RAIS


 Mwenyekiti wa Chama cha Wachimba Madini  Tanzania (FEMATA)  John Bina amesema wingi wa tozo imekuwa kilio Kwa wachimba Madini, ukosefu wa mitaji ,mabenk kuto waamini,ukosefu wa kisasa WA uchimbaji Madini.

John Bina ameipongeza Wizara ya  Madini Kwa kuweza kutatuwa kelo za sekta ya Madini ambako zilikuwa21 na sasa zimebaki chache.

Habari picha na Ally Thabiti

MAKAMU WA RAIS ATOA MAAGIZO SITA

Makamu wa rais Philip Mpango amewataka Wadau wa sekta ya Madini kutekelezwa takwa la kisheria la kutunza mazingira,kutowaajili watoto kwenye uchimbaji wa Madini , mabengi watoe mikopo Kwa wachimbaji Madini ,kujenga miundombinu na upatikanaji wa umeme.

Amewataka wawekezaji kwenye sekta ya Madini Kutoa ajira Kwa watanzania, Makamu wa rais amesema changamoto zinazowakabili wachimba Madini watazifanyia KAZI.

Habari na Ally Thabiti