Wednesday, 16 September 2020
Saturday, 5 September 2020
BODI YA MIKOPO YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA
Veneranda Malima Afisa Mawasiliano Bodi ya Mikopo Tanzania amesema kupitia Maonyesho ya Vyuo Vikuu yalioandaliwa na TCU wamefanikiwa kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwa watu waliokuwa wanadaiwa na Bodi ya Mikopo na matokeo ni mazuri . Pia wamewakumbusha wanafunzi wanaoomba Mikopo kwa mwaka wa Masomo mwaka2020 2021kukamilisha taarifa zao kwa wakati mfano vyeti vya kuzaliwa Ambavyo vimethibitishwa na Rita na vyeti vya Vifo vya wazazi wao na waviwasilishe kwa wakati na amewataka kutekeleza maagizo haya ya Bodi ya Mikopo kabla ya kufika kimono tarehe 10 mwezi9 mwaka 2020 wasipo Fanya hivi watakosa sofa za kupata Mikopo ambako app awali waliokuwa elfu14 waliokuwa awajawasilisha taarifa zao mpaka leo tarehe 5mwezi 9 2020 wanafunzi elfusita 6000 wamewakumbusha taarifa zao Bodi ya Mikopo hivyo Veneranda ametoa wito kwa wanafunzi elfusita nane8000 wawasirishe taarifa zao Bodi ya Mikopo haraka Sana ili wapate Fedha kwaajili ya kupata elimu amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm
Habari na Ally Thabiti
MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA YAIKUMBUSHA JAMII WAJIBU WAKE
Ujuzi . Na watu wenye ulemavu wamewezeshwa kujengewa mabweni,madarasa na vifaa vya kujifundishia . amesema haya kwenye maonyesho ya 15 ya Vyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm
Habari picha na Ally Thabiti
CHUO KIKUU CHA CATHOLIC MBEYA CHAJA KIVINGINE
Tamiloi Janga ni Mwalimu wa Masoko na Biashara amesema Chuo chao kimepanda hadhi ivyo anawataka watu wajiunge kupata Masomo ya Utawala wa Biashara, Sheria,Teknolojia ya habari na Mawasiliano,Uhasibu na Frdha,Ugavi na Manunuzi,Usimamizi Masoko,Rasilimali watu,Ujasilia Mali,Maendeleo ya jamii na Ukutubi,Sayansi taarifa na tehama .kwa Mawasiliano zaidi S.L.P 2622
Habari picha na Victoria Stanslaus
CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI CHABAINISHA MAMBO MAZITO
GLOBAL EDUCATION LINK LTD YAWATOA MCHECHETO WATANZANIA
Amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yavyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm
Habari picha na Victoria Stanslaus
CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR CHABAINISHA MAFANIKIO RUKUKI
Friday, 4 September 2020
STANLEY MNDASHA ALEZA MADISON YA CHUO CHAO
CHUO MKUU CHA USHIRIKA MOSHI CHATS NENO
CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAJA NA MIKAKATI MIZITO
CHUO KIKUU URIA CHAWATAKA WATU WENYE ULEMAVU KUCHANGAMKIA FURSA
kimeanzishwa mwaka 1992 na kuanza kazi rasmi mwaka 1994 kwa sheria ya Bunge namba 17 ambako wanatoa elimu yao kwa masafa ya wakulima,wafanyabiashara,wavuvi na makundi mengineyo. Dr Mohamedi Maguo amesema Kuwa pia wanatoa elimu kwa makundi maalum wakiwemo watu Wenye ulemavu wakiwemo watu wasio ona Ambao wanajifunza kompyuta kundi hili nalo waweze kujiajili na kuajiliwa . Ametoa wito kwa watu kuwapatia watu wenye ulemavu fursa mbalimbali ikiwemo elimu ili waweze kujikwamuwa kiuchumi Dr Mohamedi Maguo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Uria amewataka watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu kujiunga na Chuo Kikuu Uria amesema Jaya kwenye Maonyesho ya 15 yalioandaliwa
habari picha na Ally Thabiti
CHUO KIKUU CHA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE (SUA) KUIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
Mkurugenzi wa shahada za awali SUA, Nyambilila Amuli(kulia)
Wednesday, 2 September 2020
CHUO CHA USHIRIKA MOSHI KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI
Chuo Kikuu cha ushirika moshi kinawaalika vijana wote wenye sifa waweze kujiunga na chuo hicho kwani kinazo sifa zote za kuweza kuwaandaa vijana ili kuweza kujikwamua kiuchumi. Akiongea na mwandishi wa habari Dr Faustine Panga katika banda lao amesema kua,, wanampango mkakati mkubwa sana wa kusaidia taifa kupitia vijana ambao watakwenda kujiunga na chuo hicho. Dr Faustine Panga amesema kwamba wanaofisi kwenyemikoa 13 Tanga, Mtwara Tabora ,Ruvuma na mikoa mingineyo Tanzania bara pia wanatoa mafunzo kwa njia ya Masafa
Habari picha na ally thabiti
CHUO KIKUU IRINGA MAMBO NI MOTO
Akiongea na mwandishi wa habari, amewakaribisha wanafunzi wote wafike waweze kupata huduma bora katika matawi yao yote likiwemo lililopo Zanzibar ili kuweza kupata maarifa na ujuzi kutoka katika chuo hicho. Chuo kikuu cha Iringa kinazo sifa zote ambazo zitamfanya mwanafunzi kuwa mjuzi na mbunifu katika nchi yake na kuweza kuinua uchumi wa taifa kiujumla
Habari picha na Ally thabiti
Tuesday, 1 September 2020
CHUO CHA KIISLAM MOROGORO KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE
Afsa Habari Msaidizi Hamadi Hasani amewataka Watu kujiunga na chuo Kikuu cha ki Islam Morogoro kwaajili ya kupata Elimu Bora na yenye Tija Chuo hiki kinazingatia maswala ya Mahadili. pia chuo iki kinaunga mkono juhudi za rais Magufuli katika kufika Tanzania ya viwanda kwa kuandaa wataalam wenye uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali mfano sheria na katika maswala ya habari ambako chuo kikuu cha ki Islam kimetenga millioni 90 fedha za kununua vifaa vyakisasa vya kufundishia wana habari pia amewatoa ofu watu kuwa chuo hiki kinachukuwa wa Islam na wasiowaina sifa zote na uwezo wa kuwaandaa wanafunzi kuwa wabunifu na kuweza kusaidia taifa lao katika kuinua uchumi wa yetu
Wakiyasema hayo katika banda lao lililopo mnazi mmoja jijini dar es salaam wanawakaribisha wanafunzi hata wenye matatizo kama ulemavu kwani chuo kina mazingira mazuri ya watu wenye ulemavu pia
Habari picha na Ally thabiti
ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA KUSAIDIA UCHUMI WA VIWANDA NCHINI
Chuo kikuu cha St john's university kimewaomba wanafunzi wote nchini waweze kujiunga na chuo hicho ili waweze kuungana na kauli mbio ya nchi ya kuweza kuinua uchumi wa viwanda
Akiyasema hayo katika banda lao lililopo maeneo ya mnazi mmoja jijini dar es salaam amasema kua vijana wajitokeze kwa wingi waweze kusaidiwa kufanya maombi ili kuweza kujiunga na chuo hicho
Habari picha na Ally thabiti
MZUMBE UNIVERSITY YAJA NA MIPANGO MIZITO
Chuo kikuu cha mzumbe kinapenda kuwakaribisha wanafunzi wote walio hitimu kidato cha sita na wenye sifa waweze kujiunga na chuo hicho kwani kina ubora wa hali ya juu sana kuweza kuwafikisha katika malengo yao.
Akiyasema hayo mmoja wa viongozi wa chuo hicho madam Rose amesema chuo cha mzumbe kina sifa zote na ubora wa hali ya juu sana wa kutoa maarifa kwa wanafunzi wake
Habari picha na Ally thabiti