Dr Phillp Daninga Mkuu wa Uongozi na Utawara wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere amesema Lengo la kuwepo Kwa kongamano la mwalimu nyerere nikuenzi pamoja nakutoa elimu Kwa jamii namna ya kudumisha umoja,Amani na kupiga Vita ukabira,udini na ubaguzi wa Aina zote.
Kwani mwalimu nyerere alipiga Vita mambo haya pia Kwa upande wa Viongozi waepuke maswala ya rushwa,urasimu,ufisadi,utovu wa nidhamu na wawajali Wananchi. Dr Daninga amewashukuru washiriki wote pamoja na watoa mada.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment