Shee wa Mkoa wa Dsm Ali Aji Mussa Salum amewataka Viongozi wote wa BAKWATA wajiunge na kusoma elimu ya masafa na waweze kuelimika na kujifunza . Pia amekishukuru nchi ya Gambia Kwa kuingia MOU na BAKWATA kwani kutaimalisha utoaji elimu Bora.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment