Meneja wa Vipindi wa DIZZIM TV amesema Swala la kujiunga na Startimes kutaongeza idada ya watazamaji DIZZIM TV ivyo amewataka watu kununuwa Kwa wingi ving'amuzi vya Startimes na waangalie DIZZIM TV kupitia kisimbuzi cha Antena namba 110 na kisimbushi cha dishi 201.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment