Musa Kabimba Katibu Mkuu wa Watu Wenye Ualbino ameipongeza jitihada na juhudi zinazofanywa na THRDC katika kutetea na kupigania Haki za binadam. pia maswala ya watu wenye Ulemavu yanapewa kipaumbele .
Mfano kwenye taasisi za kiserikali wapo wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment