Kanali Respicius Kaiza amewataka Wazazi na Walezi kuwapeleka watoto wenye Ulemavu wa Aina zote wapelekwe shuleni ili wapate Elimu Ili waweze kujikwamuwa kiuchumi na waweze Kujitegemea .
Kwani watu wenye Ulemavu wanaweza na Wana uwezo mkubwa katika utendaji kazi amesema haya wakati watu wenye Uziwi walipokuwa wakiwashukuru Jkt Kwa kuwadhamini kwenye Mashindano ya Mr na Miss Viziwi.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment