Mwenyekiti wa Kituo cha Taarifa na Maarifa Kituo cha Mkanbarani Morogoro Vijijini Teresia Belege Amewapongeza na kuwashukuru TGNP MTANDAO NA UN WOMEN FUND Kwa kazi nzuri ya utoaji elimu ya namna ya kupinga ukatili wa kijinsia .
Teresia Belege ameahidi kuwa atatoa elimu Kwa wakazi wa Morogoro kuusu Ufeminia na yeye atakuwa chachu ya kuleta mabadiliko ya watu kuondokana na ukatili wa kijinsia.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment