Mkurugenzi wa NSSF Masha Mshomba amewataka wanachama wa NSSF waendeleekuutumia Mfuko huu wa hifadhi ya jamii wa NSSF kwani watanufaika na kufaidika Kwa kiasi kikubwa .
Kwa sasa NSSF imejikita na kujidhatiti katika matumizi ya kiteknolojia Lengo kufanya KAZI zao Kwa urasi na Kasi zaidi, Masha Mshomba amesema katika matumizi ya teknolojia wamefika asilimia 50.
Amewataka watumishi wa NSSF na Wanachama wao kuzingatia matumizi ya teknolojia.amesema haya siku ya huduma Kwa wateja makao makuu jijini Dsm eneo la posta ..
Habari picha na Victoria and
No comments:
Post a Comment