Kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMAJKT Maj Jenelali Rajabu Nduku Mabele pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenelali ASolomon Lyanga Shausi, ameipongeza Wizara ya habari ,Utamaduni,Sanaa na Michezo Kwa juhudi wanazofanya katika kuhakikisha Sanaa inazidi kutanuka nchini.
Pia Amewapongeza kikundi cha Sanaa na Utamaduni Kwa Viziwi Tanzania KISUVITA Kwa kuanzisha Mashindano ya Mr na Miss Viziwi.
Amekishukuru Kikundi cha KISUVITA Kwa kuona umuhimu wa kutoa zawadi Kwa SUMAJKT ikiwa ni shukurani Kwa kuwadhamini katika Shughuli Yao muhimu ya Mashindano ya Mr na Miss Deaf Africa 2021 ,Kwa niaba ya ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMAJKT Maj Jenelali Rajabu Nduku Mabele pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenelali ASolomon Lyanga Shausi ameshukuru zawadi wameipokea wanaishukuru Sana.
KISUVITA ilipoomba SUMAJKT iwadhamini katika Mashindano haya ya Mr na Miss Deaf Africa Uongozi wa SUMAJKT uliona ni Jambo Jena kwani katika Mashindano haya ya kimataifa akishinda mtanzania itasaidia kuutangaza vivutio mbalimbaliVilivyopo nchini
Mfano Mbuga za Wanyama Kama Serengeti na Ngorongoro na Mlima Kirimanjaro Kwa kufanya ivyo itasaidia kuongeza watalii kuja Tanzania ivyo kuwezesha kukuwa Kwa Uchumi wa nchi,ukizingatia SUMAJKT ilianzisha Kwa Lengo la kuzalisha Mali ili kusaidia serikali katika kuendesha Mafunzo ya JKT, pia kusaidia kukuza Uchumi wa nchi.
Hivyo amewashukuru Kwa ujio wao na amewataka maandalizi mema ya Mashindano haya ya Miss na Mr Deaf Africa 2021 ambako yatafanyikia kilele chake tarehe 01/10/2021..
Hbari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment