Abubakari Bin Zuberi Mufti Mkuu wa Tanzania amewataka watu ,taasisi na nchi mbalimbali kujitokeza Kwa wingi kuwekeza Fedha zao ndani ya BAKWATA Kwa upande WA utoaji elimu Mtandaoni kwani BAKWATA inaitaji kuungwa mkono Kwa Malina pesa ili Mafunzo na elimu inayotolewa iwe endelevu .
Pia BAKWATA wameipongeza nchi ya Gambia Kwa kuingia M .O.U.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment