Sunday, 21 May 2017
MWENYE KITI WA WAHARIRI AWATAKA WAANDISHI WA HABARI WASIFANYE KAZI KWA KUFUATA MKUMBO
Mwenyekiti wa wahariri THEOPHIL MAKUNGA amewataka waandishi wa habari wasifanye kazi kwa kufuata mkumbo bali waweke vipaumbele vyao namikakati yao hammesema haya kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari kwenye ofisi ya shirika la kazi ILO posta jijini dar es salaam habari picha na ALLY THABITI
RAIS WA MBIO KLABU AMEWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KWA WINGI KWENYE MBIO ZA RIADHA
KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI HALOTEL YAKANUSHA SAKATA LA KUHUJUMU UCHUMI
Mkurugeni mtendaji wa halotel LE VAN DAI amesema kuwa awajausika katika kuhujumu uchumi wa tanzania kama TCRA wanavyosema bali wao makosa yao ni mawili tu ambayo kutosajili laini kupitia TCRA na kuto kupeleka thamani ya hizo laini pia wamekanusha kwamba awajalipa shilingi milioni mia saba bali wanelipa shilingi milioni mia nne hamsini na tisa pia amesema hawana uhusiano na kampuni ya UNEX na mitambo hiyo sio ya halotel naameomba radhi kwa wateja wao na watazidi kushilikiana na serikali katika kukuza uchumi wa tanzania habari picha na ALLY THABITI
WAANDISHI WAJENGEWA UWEZO JUU YA UGONJWA WA FISTULA
UNFPA YASEMA FISTULA INATIBIKA TANZANIA
Thursday, 18 May 2017
TRL YAWATAKA WANANCHI WATII SHERIA BILA SHURUTI
shirika la reli la Tanzani TRLwametoa wito kwa watanzania wanaotumia usafiri huo kuwa makini na kujihami kwa kutokufanya vitendo hatarishi na kwa wale wote watakaokaidi agioz hilo watachukuliwa hatua kali za kisheria. |
AFISA MAWASILIANO WA PSPF AWATAKA WAFANYAKAZI WA MOI WAJIUNGE NA MFUKO WA PSPF
habari picha na ALLY THABITI
BARAZA LA WAFANYA KAZI MOI LAZINDUA MKUTANO WAO
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI WA FEDHA AMESEMA UTAFITI UTASAIDIA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA
habari picha na ALLY THABITI
WARIRI WAMESEMA WATAISHINIKIZA SERIKALI KUUSU KATIBA MPYA
habari picha na ALLY THABITI
PROF WA CHUO KIKUU DSM AMEWTAKA WAARIRI WAISHINIKIZE SERIKALI HIENDELEZE MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Haya amezungumza kwenye kongamano la katiba mpya liloshirikisha waariri na waandishi wa habari lilo andaliwa na kituo cha haki za binadam HLRS ambako prof waariri pamoja na wandishi wa habari watumie kalamu zao kuishinikiza serikali kuibua mchakato wa katiba mpya kwa kuandika makala mbalimbali kuusu katiba mpya
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KAMISHINA WA MAPATO TANZANIA TRA AMEZITAKA BANK ZINGINE ZISHIRIKIANE NA TRA
Kamishina wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) CHAZI KICHERE amezitaka bank nyingine zishirikiane na TRA kukusanya mapato maeneo ya bandarini na sehemu nyingine isiwe kwa bank za serikali tu na kulia kwake ni mkurugenzi wa TIB BANKambaye amelezea bank yao kuunga mkono mpango huo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TIB BANK NA MAMRAKA YA MAPATO TANZANIA TRA WAKABIDHIANA NYARAKA
Mkurugenzi wa TIB Bank na kamishina wa TRA wakabidhiana nyaraka za makubariano ya kukusanya kodi bandarini lengo nikutekereza maagizo ya rais kutaka tra na tib bank washirikiane kukusanya kodi bandarini makabidhiano haya yamefanyika makao makuu ya tra jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Friday, 12 May 2017
TGNP MTANDAO YAJADILI BAJETI YA MAJI
habari picha na ALLY THABITI
KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO YATOA FEDHA KIASI CHA BILIONI 63.58
Kitengo cha tigo pesa kimetoa fedha kiasi cha bilioni 63.58 kwa wateja waon kama gawio la robo mwaka haya yamesemwa namkuu wa kitengo cha fedha tigo pesa CHRISTOPHAR KIMARO kuliani mkuu wa masoko na usambazaji CATHERINE RUTENGE wakati anaongea na wanahabari huiduma hii ya gawio imeanza tangu mwaka 2014 haya yamezungumzwa katika makao makuu ya tigo eneo la makumbusho wilaya ya kinondoni jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Thursday, 11 May 2017
RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA AMEWAAKIKISHIA WATANZANIA KUDUMISHA UMOJA NA MSHIKAMANO HULIOPO
habari picha VICTORIA STANSLAUS
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AWATAKA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA WAKAWEKEZE AFRIKA KUSINI
hamezungumza haya kwenye jukwaa la wafanya biashara wa tanzania pamoja na waafrika kusini pia rais magufuli amewataka wafanya biashara wa tanzania washirikiane na wafanya biashara kutoka afrika kusini na amewapongeza waafrika kusini kuwekeza tanzania kwani kutasaidia kukuwa kwa uchumi, kuongezeka kwa ajira,kuimarika kwa miundombinu yetu na kuongezeka kwa mapato ya kodi .pia rais magufuli amekipongeza kituo cha uwekezaji tanzania kwa kuleta wawekezaji kwa wingi pia amempongeza rais wa afrika kusini JACOB ZUMA kwa ujio wake haya amezungumza kwenye jukwaa lawafanya biashara kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa mwalimu nyerere posta jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAAKIKISHIA AJIRA WATANZANIA
Haya yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji tanzania kwenye mkutano wa kutiliana saini na wawekezaji kutoka afrika kusini pia amewatoa ofu wawekezaji kuusu kupatikana kwa ardhi mikataba walio wekeana itasaidia kukua kwa uchumi tanzania na kuongezeka ukusanyaji wa kodi maeneo ya nishati, tehama,miundombinu,ujenzi wa kiwanda cha mborea mkoani tanga ,eneo la elimu pamoja na afya ni baadhi ya miradi walio wekeana mkurugenzi mtendaji TANDARIkutoka kituo cha uwekezaji tanzania amewapongeza wana habari kwa ushirikiano . mkutano huu umefanyika jijini dar es salaam kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa mwalimu nyerere .wafanya biashara mia nne watanzania wameuzuria na ajira elfu themanini na tano zitapatikana kwa watanzania
Monday, 8 May 2017
CHAMA CHA A.C.T.WAZARENDO KIMEMPONGEZA RAIS JOHN JOSEFU POMBE MAGUFULI KWA ATUA ALIO ICHUKUA KWENYE VYETI FEKI
Haya amezungumza katibu mwenezi KADO SHAIBU pia chama kimemtaka rais haakiki vyeti vya wabunge,madiwani,wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa kwani nao wana vyeti feki kwakuto akiki vyeti vyao ni kusigina katiba ya tanzania
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
NA HAPA WAKIZINDUA RIPOTI YA HLRC
Kupitia ripoti hii watanzania watajifunza mengi na inaonesha mikoa ya nyanda magharibi inaongoza kwa ukatiri wa kijinsia
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MGENI RASMI AMBAYE NI JAJI WA TANZANIA AMESEMA ATASHIRIKIANA NA SERIKALI KUONDOA SHERIA KANDAMIZI
Haya amezungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya HLRC miongoni mwa sheria ambazo zitafanyiwa malekebisho ni sheria ya ndoa za utotoni.sheria ya mtandao na sheria za huduma za habari. ametoa wito kwa taasisi zishirikiane kutokomeza ukatiri wa kijinsia pamoja na haki za binadam hamesema haya kwenye uzinduzi wa ripoti ya HLRC jijini dares salaam kwenye ukumbi wa makumbusho ya taifa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWENYEKITI WA BARAZA LA WADHAMINI LAKITUO CHA MSAADA WA KISHERIA H.L.R.C AMEITAKA SERIKALI IKOMESHE UKATIRI WA KIJINSIA
Amesema haya kwenye uzinduzi wa ripoti ya shirika la HLRCambako inaonekana mimba za utotoni,ubakaji,na urawiti nivitendo ambavyo vimekithiri kwa kiasi kikubwa nchini tanzania haya yamebainishwa na ripoti ya HLRC kupitia ripoti hii ameiomba serikali kuyatokomeza haya maswala mkutano huu umefanyika jijini dar es salaam kwenye ukumbi wa makumbusho ya taifa posta
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PATRICK KUSIGA WA TICTS AWAPONGEZA CLOUDS KWA KUAANDAA BONANZA LA WAFANYA KAZI
Mashindano haya yameweza kuwakutanisha wafanya kazi wa makampuni mbalimbali hivyo wamejenga uhusiano mkubwa na makampuni hayo
habari picha VICTORIA STANSLAUS
habari picha VICTORIA STANSLAUS
Subscribe to:
Posts (Atom)