Emanuel Tutuba Gavana wa Bank Kuu ya Tanzania amesema watu wasiwe na ofu sekta ya fedha nchini tanzania ni Imara kwani amna mikopo chechefu kwenye mabenk ya tanzania na Bot wana akiba ya fedha za kutosha.
Pia ameupongeza uongozi wa Bank ya Tiob kwa kuwaunganisha vijana pamoja kuwatafutia fursa za ajira kwa kuanzisha shindano la TIOB Challenge kwani shindano ili linatija kubwa kwa vijana na taifa kwa ujumla.
Emanuel Tutuba amewataka wafanyakazi wa mabenk wawe waadirifu,Wazalendo na waaminifu pia Bot imeandaa mitaala ya kutoa elimu ya fedha .huku kuna mipango ya kuwafikia makundi mbalimbali mfano wavuvi,wafanyabiashara wadogowadogo,wanawake,vijana na watu wenye ulemavu wa aina zote lengo sekta ya fedha iwe jumuishi nchini tanzania amesma haya kwenye utoaji wa tizo na zawadi kwenye shindano la Tiob Challenge lililoandaliwa na Bank ya Biob kwenye ukumbi wa kimataifa JNICC jijini Dar es salaam.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment