Patrick Mususa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Bank ya Tiob amewapongeza na kuwashukuru washiriki wa shindano la Tiob Challenge wapatao 2462 kutoka vyuo vikuu nchini tanzania ambako malengo yalikuwa vijana wapatao 2000 ndio waliolengwa . Haya ivyo kuvuka lengo inaonyesha vijana wanautayari wa kuchangamkia fursa zinapojitokeza kwenye sekta ya fedha.
Ivyo bank ya Tiob imeamuwa kuweka mokakati madhubuti na imara ili kuwepo na muendelezo wa shindano la TIOB Challenge pia kwa kujua umuhimu wa wasichana ambao wapo vyuo vikuu wameweka mipango mikakati ya wao kushiriki kikamilifu.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Bank ya Tiob Patrick Mususa ametoa rai kwa wadau nchini tanzania kudhamini shindano la TIOB Challenge amesema haya wakati wa utoaji tuzo na zawadi kwenye shindano la TIOB Challenge lililoandaliwa na Bank ya Tiob lililofanyika jijini dar es salaam kwenye ukumbi wa kimataifa JNICC.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment