Abubakari Azizi Mkurugenzi wa Azam Marine amesema Uchumi wa Bluu utasaidia kwa kiasi kikubwa kukuwa kwa uchumi wa tanzania kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla anawataka watanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye bahari 'maziwa 'mito na mabwawa kwani wakifanya ivyo uchumi wao utaimarika .
Amekipongeza chuo cha Mabaharia kwa kuunga mkono juhudi na jitihada za serikali katika kuelekea uchumi wa bluu kwa vitendo kwa kuandaa wataalamu kupitia chuo cha mabaharia (DMI) ....amesema haya kwenye kongamano la siku mbili jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment