Bonifas Kienze Muhitimu wa Veta AsieOna anaishukuru veta kwa kuwapa mafunzo watu wasio Ona kwa kujifunza Ufundi serenata na Ufundi wa Alminiam kwani unawasaidia kwa kiasi kikubwa katika kujikwamuwa kiuchumi.
Bonifas Kienze ni Fundi Serema asiye Ona ambae anatengeneza Vitanda'makabati'meza na vitu vinginevyo vya mbao anawataka watu kutembelea maonyesho ya 48 viwanja vya sabasaba kwenye banda la veta . Ametoa wito kwa jamii wawapeleke watu wenye ulemavu veta ili wapate ujuzi.
Amesema haya kwenye maonyesho ya 48 kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment