Richard Pweleza Mratibu wa Kaizen amesema lengo la kuwa na mradi wa kaizen kuwakuza wajasilia Mali wadogowadogo pamoja na viwanda vidogovidogo ili watengeneze bidhaa zenye ubora mpaka sasa mradi wa kaizen upo kwenye mikoa 19 ikiwemo mkoa ,,Morogoro,Pwani,Tanga,Dodoma ,Singida , Arusha,Ruvuma na mikoa mingineyo pia mradi umefika Zanzibar eneo la Pemba na Unguja .
Ametoa wito kwa watu kufika ofisi za Sido na chuo cha Cbe ili wapate fursa ya kujiunga na mradi wa kaizen amesema haya kwenye maonyesho ya 48 kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment