Mwalimu Salehe amesema Chuo cha Veta Kinatoa mafunzo kwa watu wenye ulemavu wa aina zote lengo watu hawa waweze kujitegemea kiuchumi na kimaisha ivyo ni vyema wazazi na walezi wasiwafungie ndani watu wenye ulemavu badala yake wawapeleke veta ili wapate ujuzi wa aina mbalimbali ''huku akiwataka watu wenye ulemavu kutokata tamaa kwani wajiunge veta watapata fursa mbalimbali amesema haya kwenye maonyesho ya 48 kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment