Dr Dotto Mashaka Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati amepongeza kazi nzuri na kubwa inayofanywa na chuo cha baharia (DMI) kwa kuandaa wataalam ambao watasaidia kukuza na kuomarisha uchumi wa bluu nchini tanzania pia amewataka wanafunzi wa chuo hichi kuzingatia wanayofundishwa na watafasiri kwa vitendo dhana ya uchumi wa bluu.
Huku akiwataka washiriki wa kongamano la uchumi wa bluu watoe mawazo'ushauri'mipango na mikakati yakufikia uchumi wa bluu....amesema haya kwenye kongamano la siku mbili lenye kauli mbiu Kuunganisha Usalama Baharini'Utunzaji wa Mazingira na Maendeleo ya Teknolojia Kwaajili ya Ukuzaji wa Uchumi wa Bluu linalofanyika jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment