Waziri wa Usafirishaji na Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amesema tarehe 1 mwezi 8 mwaka 2024 rais Dr Samia atazindua tren ya umeme (SGR) kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma .
Kiasi cha fedha kilichotumika katika ujenzi wa reli mpya ya kisasa inayotumia umeme ni dora bilioni 3.18 ambako zaidi ya kilometa 722 na vichwa vya tren 19 na mabehewq kwaajili ya habiria 89 na mabehewa ya mizigo 1430 ambako kiasi cha fedha kilichotumika kununua ni tilioni 1.3.
Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji prof Makame Mbarawa amesema Tren hii
itasaidia kwa kiasi kikubwa kukuwa kwa sekta mbalimbaloi mfano kilimo,Uvuvi,Biashara na Viwanda . Pia Usafiri huu wa tren ya Umeme unauwezo wa kubeba mizigo tani 10000 kwa pamoja ambako sawa na malori 1000'' Usafiri huu wa Sgr ni wa gharama nafuu ambao kila mtanzania anaweza kutumia.
Hivyo Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji Prof Makame Mbarawa anawataka watanzania kutumia tren ya umeme kwani ina faida kubwa kwao na kwa uchumi wa tanzania amesema haya jijini dar es salaam wakati akizungumza na wanahabari kuhusu uzinduzi wa safari za tren kutoka dar es salaam mpaka Dodoma1/8/2024 ambako rais Dr Samia ndiye mgeni rasmi.
No comments:
Post a Comment