LuteniKanali Gadetius Ilonda amesema Jeshi la wananchi litaazimisha miaka 60 tangu lianzishwe mwaka 1964 katika maazimisho haya kutakuwa na shunguri mbalimbali za utoaji huduma za tibambalimbali kwa wananchi kwa magonjwa yote kwa wananchi ni bule ambako mikoa ya dar es salaam'Pwani'Tanga'Ruvuma'Mbeya 'Tabora'Zanzibar'Mwanza'Tabora pia kutakuwa na maonyesho ya tamad0uni lengo la maonyesho haya kuonesha mira na desturi za watanzania .
Pia kutakuwa na Ujio wa Jeshi la Watu wa China ambako jeshi ili litatoa huduma za tiba kwenye meri yao ...lengo la ujio wachina kukuza demokrasia ya kijeshi nakukuza uchumi wa watanzania ametoa wito kwa wananchi kutokuwa na wasiwasi wala ofu watapokuwa wakiona vifaa vya kivita vya kijeshi kwenye maeneo yao na miungurumo ya silaa nzito kwani maazimisho haya ya miaka60 ya jeshi la wananchi wa tanzania litaendana na uchangiaji wa dam ivyo wanajeshi watachangia damu na wananchi wanaombwa kuchangia damu.
Lengo la uchangiaji wa dam ni kusambaza kwenye hospitali zote mchini kwaajili ya kuokoa maisha ya kinamama waojifungua na majerui.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment