Wednesday, 19 March 2025

BALOZI RIBERATA MULAMULA AWATAKA WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA MBALIMBALI

 Balozi Mulamula amewataka Wanawake Kuchangamkia fursa mbalimbali miongoni mwao zikiwemo fursa za kiuchumu ambako wakifanya biashara au ujasilia Mali watafanikiwa kiuchumi .

Pia amewataka wanawake wote wawe na elimu ya fedha amesema haya wakati wa kuwajengea uwezo wanawake na wasichana  walipo kutana na Women Shaping the future (SRS) jijini dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment