Saturday, 22 March 2025

ST. MATTHEW'S INATOA ELIMU KWA GHARAMA NAFUU

Mkuu wa Shule ya St. Matthew's  Josefu Malahila. amewataka Wazazi na walezi kuwahandikisha watoto wao kwenye shule zote nane za St. Matthew's  kuanzia elimu ya Awali , msingi kwa Secondary kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita. Ambako mzazi analipa hada kwa awamu nne.

Shule za St. Matthew's zina malengo ya kutoa elimu inayozingatia nidhamu, usalama kwa wanafunzi na malezi bora kwa wanafunzi wote  shule ya St Matthew's  inamuwezesha mwanafunzi kujiajili ama kuajiliwa amesema haya kwenye maafari ya kidato cha sita ya wanafunzi wapatao 97 wa shule ya St.Matthew's. 

Mkuu wa Shule ya St. Matthew's  Josefu Malahila ametoa wito kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita elimu na ujuzi walioupata wakatumie katika kutatuwa changamoto za kijamii.

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment