Saturday, 22 March 2025

HAJATI SHAMIMU AWAPONGEZA TGNP

Mwenyekiti wa Jumuhiya ya Wanawake  wa Kiislamu Taifa na Mwana harakati mkongwe amewapongeza TGNP kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kupiga vita ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake , wasichana na makundi mengineyo na kupelekea idadi ya wanawake ya kuwa viongozi nchini tanzania imeongezeka. Mfano wabunge wanawake wa ku haguliwa wapo 26 ukilinganisha na miaka ya nyuma haya ndio walio yapigania kwenye mkutano wa Beijing nchini China mwaka 1995 amesema haya kwenye siku ya mwanamke duniani kwenye viwanja vya TGNP  Mabibo jijini dar es salaam. 

Habari picha na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment