Saturday, 22 March 2025

MKUU WA WIRAYA YA KISARAWE AFUNGUWA MILANGO KWA WAZAZI NA WALEZI KWENYE SHULE YA ST MATTHEW'S

 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Dr Tito Magoti anawataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao kwenye shule  za St. Matthew's  kwani zinafundisha vizuri mpaka kupelekea mwanafunzi kuweza kujiajili kupitia mafunzo ya ujasilia Mali na kuondokana kuwa tegemezi katika jamii .

Shule za St. Matthew's zinaunga mkono na kutekeleza maono ya rais Dr Samia  kwa kuwapa wanafunzi elimu bora na viwango vikubwa hivyo ni vyema wazazi na walezi wasiache kuwapeleka watoto wao kwenye shule  za St. Matthew's.

Amesema haya kwenye maafari ya 20 ya kidato cha sita ambako wahitimu 97 wanamaliza elimu yao kwenye shule ya St. Matthew's  wilaya ya Mkuranga kata ya mwandege mkoani pwani.

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment