Naibu waziri wa elimu Gabrieli Olenasha ameipongeza taasisi ya elimu Tanzania TET kwa kucha pisha vitabu Kwa Lugha ya Kingereza vya shule ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la tano Kwa shule za binausi na shule za serikali pia amesema wamechapisha vitabu vya wasioona Kwa nukta nundu kuanzia darasa la Kwanza mpaka la tano na Kwa kidato cha Kwanza mpaka cha nne pia Kwa kuchapisha vitabu vya maandishi makubwa Kwa watu wenye uono afifu . Nae Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya elimu Tanzania TET amewataka wamiriki wa shule watumie vitabu vyenye ithibati kwani wasipofanya ivyo atua Kali zitachukuliwa dhidi yao Dkt Aneth Komba Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya elimu Tanzania amehaidi vitabu vilivyozinduliwa vitasambazwa Tanzania bara na Visiwani
Habari picha na Ally Thabit
Saturday, 29 February 2020
Tuesday, 25 February 2020
POHO MAKONDA AWACHIMBA MKWARA WANA SIASA
Mkuu wa mkoa wa jijini Dar es salaam Paulo Makonda amewaonya Wana Siasa wa
vyama vya upinzani katika kuelekea uchaguzi mkuu ni marufuku kufanya kampeni za kuatalisha Amani uku akiwataka kujenga Oja za msingi uku akiwataka viongozi wa halmashauri za jiji la dar es salaam kufanya kazi Kwa ushirikiano na atakae bainika kuwa mzigo ataondolewa uku hakiaidi kutatua changamoto za uchache wa watumishi wa rishe pia ameitaka halmashauri ya Ilala kuwachukulia atua watumishi walioikosesha Ilala fedha za maegesho ya magari kiasi cha bilioni 4 za makusanyo ya maegesho ya magari amesema Aya jijini Dar es salaam ukumbi wa Anatogo uliopo mnazi mmoja
Habari picha na Victoria Stanslaus
vyama vya upinzani katika kuelekea uchaguzi mkuu ni marufuku kufanya kampeni za kuatalisha Amani uku akiwataka kujenga Oja za msingi uku akiwataka viongozi wa halmashauri za jiji la dar es salaam kufanya kazi Kwa ushirikiano na atakae bainika kuwa mzigo ataondolewa uku hakiaidi kutatua changamoto za uchache wa watumishi wa rishe pia ameitaka halmashauri ya Ilala kuwachukulia atua watumishi walioikosesha Ilala fedha za maegesho ya magari kiasi cha bilioni 4 za makusanyo ya maegesho ya magari amesema Aya jijini Dar es salaam ukumbi wa Anatogo uliopo mnazi mmoja
Habari picha na Victoria Stanslaus
MBUNGE WA KINONDONI AWAPIGANIA WATU WENYE ULEMAVU
Maulidi Mturia Mbunge wa kinondoni ameitaka serikali kutenga ruzuku kwaajili ya kwaajili ya kuwawezesha watu wenye ulemavu hili waweze kujiajili amesema kwani watu wenye ulemavu ni kundi dogo ivyo ni vyema kuliwezesha Kwa kiwango kikubwa ametoa wito Kwa serikali kuweza kupunguza masharti Kwa watu wenye ulemavu Kwa kiwango cha fedha cha asilimia2 kupunguza masharti uku akizitaka halmashauri ziweze kutoa elimu ya kutosha Kwa watu wenye ulemavu kuusu elimu ya fedha ya asilimia2 wanayopewa watu wenye ulemavu amesema Aya jijini Dar es salaam
Habari picha Victoria Stanslaus
Habari picha Victoria Stanslaus
KIASI CHA MILIONI 170 KUONDOA TATIZO LA MAZINGIRA DAR
Waziri wa mazingira Musa Asani Zungu amesema wizara yake imetoa kiasi cha fedha shilingi milioni 170 kwaajili ya kukabiliana uchafuzi wa mazingira jijini dar es salaam uku akimpongeza mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paulo Makonda wizara yake itatoa ushirikiano wa asilimia Mia moja uku akipongeza mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Kwa utendaji wake mzuri wa kazi amesema Aya mnazi mmoja kwenye ukumbi wa Anatogo jijini dar es salaam
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Monday, 24 February 2020
NAIBU WAZIRI AMPONGEZA DUMA
Naibu waziri wa wizara ya habari ,Sanaa,michezo na utamaduni Juliana Shonza amempongeza msanii wa bongo Muvi Kwa kuweza kuanzisha DUMA TV na kufungua Ofisi Kwa ajili ya kutengeneza kazi za bongo Muvi Naibu waziri amewataka wasanii wa bongo Muvi kutengeneza kazi zao Kwa DUMA kwani Studio yake ni ya kisasa na ina vifaa vyenye ubora uku akitoa wito Kwa Wana habari kufuata kanuni,Sheria na taratibu za uandishi pia akiwataka Wana habari kwenda kusoma Kwa ngazi ya diploma na zaidi kwani ifikapo mwaka 2021 hatuwa Kali zitachukuliwa dhidi yao
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
MSANII DUMA ATIMIZA NDOTO ZAKE
Msanii wa bongo Muvi DUMA amesema ameamua kuja na DUMA TV na kufungua Ofisi kwaajili ya waigizaji wa bongo Muvi Lengo ni kuinua na kukuza Sanaa ya uingizaji nchini Tanzania pia watawafikia watu wote wa mikoani
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Friday, 21 February 2020
NCCR MAGEUZI YAIBUA SAKATA LA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Jemsi Mbatia amesema wameazimia maazimio Sita baada ya kumalizika mkutano wa halmashauri kuu nivyema kuanzishwa mjadala wa kupatikana Katiba mpya kwaajili ya maslai ya nchi ya Tanzania uku wakiadhimia kuwepo na ushirikiano wa chama cha NCCR Mageuzi na vyama vinginevyo kwamujibu wa Sheria,kanunua na taratibu za vyama vya Siasa na Katiba ya Tanzania pia NCCR Mageuzi itatoa elimu na kuamasisha jamii kupigania Kura kwenye uchaguzi mkuu uku Jamaica Mbatia akiimiza kuwepo Kwa maridhiano ya kitaifa kwaajili ya kudumisha Amani,umoja na Usalama wa Tanzania uku akitoa Rai Kwa viongozi wa vyama vya Siasa na wanachama kuchunga ndimi zao katika kuelekea uchaguzi mkuu Lengo kulinda na kudumisha Amani iliyopo Tanzania
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Thursday, 20 February 2020
BARAZA LA MAZINGIRA LAAINISHA MIKAKATI MIZITO
Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira dokta Gwamwaka Mafongwa amesema katika kukabiliana na uchafuzi wa Mazingira Baraza la Mazingira limeweza kutoa elimu Kwa wananchi katika matumizi ya Mifuko mbadala Kwa kuwaimiza wananchi watoe taarifa pindi wanapobaini uingizaji au usambazwaji na utengenezwaji wa Mifuko iliopigwa malufuku na serikali Pia Baraza la Mazingira limeweza kuwachukulia atua watu waliokumbwa na Mifuko ya plastiki mpaka sasa jumla ya viwanda vya utengenezaji Mifuko mbadala 72 vimetengenezwa Tanzania bara uku Ajila 2761 zimepatikana Kwa watanzania Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira amesema uchache wa watumishi jamii kutotoa ushirikiano na viongozi wa serikali za mitaa izi ni changamoto ambazo zipo kwenye Baraza la Mazingira
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
TBS YAWATOA OFU WATENGENEZAJI MIFUKO MBADALA
Kaimu mkurugenzi wa TBS Jabari Swalehe amesema Lengo la shirika la viwango tanzania nikuwatengenezea Mazingira rafiki wafanya biashara waweze kutengeneza bidhaa zenye ubora ambazo zinaweza kuuzika nchini na nje ya nchi Jabri Swalehe amesema watu waondoe dhana yakuamini kuwa TBS inazuia biashara za watu si kweli amewataka wanaotengeneza Mifuko mbadala wafike TBS ili waweze ubora wa viwango vinavyotakiwa
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
WAZIRI WA MAZINGIRA ATANGAZA VITA
Waziri wa mazingira Musa Asani Zungu amewataka wale wote wenye viwanda bubu ambako wanatengeneza mifuko feki ya mbadala waache mala moja kwani atuwa Kali zitachukuiwa dhidi Yao pia waziri amewataka wale wote wanaotumia mifuko ya vifungashio kwaajili ya kubebea vitu mbalimbali nao watakamatwa amesema Aya alipokutana na wadau wa mazingira na wanaotengeneza mifuko mbadala kwenye mkutano ulioandaliwa na Baraza la mazingira
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Wednesday, 19 February 2020
CHUO CHA BANDARI CHAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURUSA
Baraka ni mkufunzi wa wa chuo cha Bandari upande wa mashine za Bandarini amewataka watanzania kujitokeza Kwa wingi kwenye chuo cha Bandari kwenda kujifunza Kwa vitendo mashine za Bandarini kwani chuo cha Bandari Tanzania kinatoa mafunzo Aya Kwa bei nafuu ukilinganisha na nchi zingine
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
NAIBU WAZIRI AKIKABIDHI VYETI KWA WAITIM
Eliasi Kwandikwa naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi pichani AKIKABIDHI Cheti Kwa muitim wa chuo cha Bandari
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
WAKUFUNZI WA CHUO CHA BANDARI WAKITUNUKIWA VYETI
Pichani mkuu wa chuo cha Bandari akiambatana na naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wanapatia vyeti wakufunzi waliokumbwa mafunzo ya vitendo kwenye mashine za Bandari
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
CHUO CHA BANDARI CHAZINDUA MTAMBO
Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eliasi Kwandikwa ameupongeza uongozi wa chuo cha Bandari Kwa kununua Mtambo wa kisasa kwaajili ya wanafunzi kujifunza Kwa vitendo hii itasaidia Kwa kiasi kikubwa kupata vijana wenye uwezo wa kufanya kazi Kwa vitendo kwenye Bandari za Tanzania ata nje ya nchi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
MJUMBE WA CHUO CHA BANDARI AWAPA NENO WAITIMU
Toni Swai mjumbe wa chuo cha Bandari amewataka waitim 403 wa chuo cha Bandari elimu walioipata waitumie Kwa maslai ya kukuza uchumi wa Tanzania pia waweze kuwa wazarendo na waadilifu uku akitoa wito Kwa waitim waweze kutafuta furusa mbalimbali za kuajiliwa au kujiajili amesema Aya wakati wa maafari ya 18 ya wanafunzi wa chuo cha Bandari jijini Dar es salaam
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
JEMSI MBATIA AIONYA VIKALI CCM
Habari picha na Victoria Stanslaus
CHAMA CHA NCCR MAGEUZI CHAWABEBA WATU WENYE ULEMAVU
Yohana ni kijana mwenye ulemavu wa miguu kutoka kigoma ameupongeza uongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi Kwa kukuza na kudumisha demokrasia apa nchini pia amempongeza mwenyekiti Jemsi Mbatia Kwa kuwapa fulusa watu wenye ulemavu pia ametoa wito kuwa uchaguzi wa mwaka huu uwe wa Uhuru na haki na watu wasindane oja nasio matusi amesema Aya kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya NCCR Mageuzi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
MISIMAMO YA JEMSI MBATIA YAWAKUNA WAPINZANI
Bonfasi aliyekuwa mwanachama wachanga na kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la busolwa ameamuwa kujiunga na Chama cha NCCR Mageuzi mambo yalio mvutia ni uwazi,uhadilifu,Uhuru wa mawazo na Sera za kweli ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi ndivyo vilivyomfanya Angie ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi pia msimamo na kutokukata kununuliwa mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Jemsi Mbatia ndiko Bonfasi ameamuwa kujiunga na Chama cha NCCR Mageuzi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
MBUNGE WA CHADEMA AWAFUNDA NCCR MAGEUZI
Mbunge wa Moshi vijijini kupitia Chama cha Chadema amewataka Chama cha NCCR Mageuzi kuto yumbishwa na wasitishwe wala kuogopa amaama ya watu kuingia CCM pia amewataka ofu watanzania kuwa yeye atoenda CCM abadani amesema Aya kwenye mkutano wa halmashauri mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi ambako umefanyika jijini dar es salaam kijitonyoma
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
TILIONI 1.2 ZATOLEWA NA TANESCO
Mkurugenzi wa TANESCO amesema mpaka sasa wametoa tilioni 1.2 fedha kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Thursday, 13 February 2020
WAISHIO MABONDENI KUSOMBWA NA MAFURIKO
Mkurugenzi wa mamlaia ya Hali ya Hewa Agnesi Kijakazi amewataka watu waishio mabondeni kutoka kwani mvua zinaendelea uku akiwataka wakulima kujiandaa kwaajili ya kilimo ametoa wito Kwa wachimbaji migodi kusimamisha shughuri zao kwani wasipofanya ivi watapekekea kupoteza Manisha yao Kwa migodi kupolomokewa na udongo
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Wednesday, 12 February 2020
CHUO CHA N.I.T CHABAINISHA MIKAKATI MIZITO
Mkuu wa chuo cha Usafirishaji na Uchukuzi(NIT) prof Zakaria Mganirwa amesema kiasi cha fedha zaidi ya bilioni50 zimetengwa kwaajili ya kuhimarisha miundombinu ya chuo cha NIT na ununuzi wa vifaa mbalimbali kwaajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa chuo cha Usafirishaji na Uchukuzi NIT ndege 5 zitanunuliwa na chuo cha NIT ambako ivi karibuni zitaanza kufika nchini Lengo wanafunzi watakao jifunza Urubani waweze kuzitumia kwenye mafunzo yao Mkuu wa chuo cha NIT amemshukuru rais Magufuli na serikali Kwa ujumla kwa kukiimariaha na kukijengea uwezo chuo cha NIT uku akipongeza jitihada za serikali Kwa kuwapeleka wakufunzi nje ya nchi zaidi ya 50 kwenda kuongeza ujuzi kwenye sekta ya Usafirishaji na Uchukuzi ambako itapunguza gharama Kwa watanzania kwenda kusomea mafunzo ya Usafirishaji na Uchukuzi nje ya nchi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
CHUO CHA N.I.T YATEKELEZA KWA VITENDO KAULI YA RAIS MAGUFULI
Chuo cha NIT kinatoa mafunzo ambayo yatawawezesha wanafunzi waweze kuajiliwa na kujiajili kwenye sekta ya usafirishaji na Uchukuzi Lengo ni kumuunga mkono rais Magufuli katika kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa Kati mwaka 2020 mpaka 2025 Aya amesema Prof Bavo Nyichomba baada ya kutembelewa na viongozi wa Baraza la chuo cha NIT ameongezea Kwa kuwatoa ofu watanzania Sela zilizopo Kwa sasa za chuo cha usafirishaji na Uchukuzi (NIT) zinaendana na Sela za dira ya Tanzania katika kukuza uchumi wa nchi Kwa kuwaandaa wahandisi wa Reli na sekta ya anga amewaasa wanafunzi wa chuo cha NIT waweze kufanya kazi Kwa vitendo pindi wanapoajiliwa au kujiajili
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Monday, 10 February 2020
CUF YAWATOA OFU WANACHAMA
Mwenyekiti wa Chama cha CUF amesema kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 utakao fanyika mwezi wa Kumi Chama cha CUF akitosusia uchaguzi wataweka wagombea nafasi za Udiwani Ubunge na Urais ivyo amewataka wanachama wa CUF wenye sifa wajitokeze kugombea Mwenyekiti wa CUF ametoa wito Kwa Jesho la polisi waache kuwasumbua wapinzani na waache kukipendelea Chama cha CCM ametoa rai Kwa rais Magufuli kutekeleza Kwa vitendo maneno alio ongea hikuru jijini dar es salaam alipokutana na mabarozi mbambali ambako asema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa Uhuru na haki pia Chama cha CUF kimemtaka rais Magufuli kukutana na viongozi wa vyama vya Siasa Lengo la kukutana nikujadili na kuangalia njia bora ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Prof Ripumba amemtaka rais Magufuli kuviacha vyama vya Siasa kufanya mkutano yao ya ndani na nje
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Friday, 7 February 2020
TWCC WATOA MAFUNZO
Pichani washiriki wa TWCC wakipokea mafunzo ya mfumo wa kidigitali jinsi ya kutoa taarifa ya ukatili wa kijinsia katika biashara zao jijini Dar es salaam kwenye hotel ya Serena
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
TWCC YAZINDUA MFUMO WA KIDIGITALI
John Uranga Mkurugenzi mkuu mkazi wa TMEA (Trade Mark East Africa) amezindua mafunzo ya TWCC ya kidigitali ya kuwawezesha wanawake kufanya biashara za kuvuka mipaka mafunzo haya ya video ambayo yamedhaminiwa na Trade Mark East Africa yamelenga kutoa elimu juu ya Sheria na taratibu zinazowezesha kufanya biashara za kuvuka mipaka Pia TWCC imezindua mfumo wa kutoa taarifa ya unyanyasaji wa kijinsia Kwa kutuma SMS za kawaida Kwa maelezo zaidi Www.twcc.tz.org/gbcportal
TWCC YATANGAZA BIDHAA ZA WANAWAKE
Pichani bidhaa ya juis zinazotengenezwa na Yvonne Josefu ameupongeza uongozi wa TW CC Kwa kumuunganisha na watu mbalimbali
TWCC YAWAPELEKA WANAWAKE KWENYE MASOKO YA KIMATAIFA
Yvonne Josefu amesema TWCC imewasaidia wanawake Kwa kiasi kikubwa katika kuwatafutia masoko ndani ya nchi na nje ya nchi ametoa wito Kwa wanawake wengine kujiunga na TWCC Yvonne amewataka watanzania kumuunga mkono kwenye biashara zake Kwa mawasiliano 0742004801
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
UHAMIAJI WATOA NENO KWA WATANZANIA
Ally Mtandaoni amewataka watanzania kujitokeza Kwa wingi katika kupata paspoti za kieletroniki wakibakia na zazamani watashindwa kusafiri nchi za nje Ally Mtanda amesema mfumo huu mpya wa paspoti Uhamiaji umefanikiwa Kwa kiasi kikubwa Kwa kuwafikia watanzania ndani ya nchi na nje ya nchi
Habari picha Ally Thabiti
Habari picha Ally Thabiti
Wednesday, 5 February 2020
SHIRIKA LA RELI LAKUMBWA NA MAAFA MAKUBWA
Mkurugenzi mkuu wa shirika la RELI Tanzania (TRC) muhandisi Masanja Kungu Kadogosa amesema mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimearibu miundombinu ya shirika la Reli ikiwemo kusombwa na maji Kwa mataluma ya Reli mkoani Morogoro kusombwa Kwa makaravati na kusombwa Kwa kokoto kwenye njia ya Reli amesema imepelekea kuaitiswa Kwa safari za Treni kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma na kutoa Dodoma kuja Dar es salaam jitiada walizofanya kuwasafirisha abiria kwanjia ya mabasi,kuamisha Reli na kurudisha kokoto kwenye njia za Reli shirika la Reli limewatoa ofu watanzania kuwa safari za shirika la Reli zinaendelea Kwenye mikoa mingine
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
MKUU WA MKOA JIJINI DAR ES SALAAM ANUSURU VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO
Paulo Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amesema wameamuwa kukiboresha kituo cha afya cha bunju A Kwa kiasi cha shilingi milioni 600 Lengo kunusuru vifo vya mama wajawazito wakati wa kujifunguwa na watoto wachanga pindi wanapozaliwa pia watakipandisha hadhi kuwa Zahanati
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Tuesday, 4 February 2020
JAMII YAASWA KUCHANGIA DAMU
Ayubu ambaye amejitokeza katika zoezi la kuchangia damu kwenye ospitali ya Aga Khan amewataka wanzania na ambao sio watanzania wawe na moyo wa kuchangia damu kwaajili ya kunusulu na kuokoa Maisha ya wagonjwa wa saratani amesema aya siku ya maazimisho ya ugonjwa wa saratani duniani ambako uazimishwa Kila ifikapo tarehe 4 mwezi wa pili Kila mwaka ametoa wito Kwa ospitali ya Aga Khan wasichoke kuamasisha watu kuchangia damu
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
OSPITALI YA AGA KHAN YACHOCHEA WATU
Dokta Serestini amesema wameamuwa kuamasisha watu kuchangia damu Kwa wingi Lengo wagonjwa wa sarata waweze kutumia kwaajili ya kuokoa Manisha Yao kwani wagonjwa wa saratani wanaitaji damu Kwa wingi ivyo ametoa wito Kwa watu kujitokeza Kwa wingi katika kuchangia damu mara Kwa mara ivyo amesema ospitali ya Aga Khan itaendelea kutoa elimu juu ya ugonjwa wa saratani
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
OSPITALI YA AGA KHAN KUNUSULU VIFO
Anjera Marjani ameupongeza uongozi wa ospitali ya Aga Khan kwakutoa elimu ya ugonjwa wa saratani jinsi ya kujilinda na kutambuwa dalili zake hii itasaidia watu kujilinda na kutambuwa dalili zake na kwenda ospitali Kwa matibabu amesema aya siku ya ugonjwa wa saratani ambako imeambatana na watu kuchangia damu
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Monday, 3 February 2020
MAKAMU MKUU WA CHUO CHA T.I.A ABAINISHA MAMBO MAZITO
Makamu mkuu wa chuo chaTIA upande wa taaluma,utafiti na ushauri dokta Kasambara Omore amesema wameamuwa kutoa semina Kwa wajasilia Mali wadogo wakiwemo mamarishe waendesha bodaboda na wengineo Lengo nikuwajengea uwezo katika kuendesha biashara zao amesema semina izi wataendelea kutoa kwenye mikoa mbalimbali pia ametoa mada juu ya mikopo Kwa wajasilia Mali . Nae mratibu wa semina hii Asenari amesema huu mpango utakuwa endelevu na amewataka watanzania kuwaunga mkono Kwa kuudhuria semina za TIA ametoa wito Kwa watanzania kujiunga na kuwapeleka watoto wao chuo cha TIA Kwa ngazi ya Cheti diploma na elimu ya juu
Habari picha na Ally Thabiti
TAASISI YA UWASIBU (TIA) YATEKELEZA KWA VITENDO KAULI YA RAIS MAGUFULI
Habari picha na Ally Thabiti
T.I.A YAWAFUTA CHOZI WANYONGE
Mbaga mshiriki wa wa semina ambayo imetolewa na taasisi ya uwasibu Tanzania (TIA) anaupongeza uongozi wa chuo cha uwasibu Kwa kutoa semina ya siku mbili ambako inajumuisha wajasilia Mali wadogo wadogo zaidi ya 200 ikiwemo mamarishe,delevabodaboda,waendesha bajaji,watembeza vyombo na wengineo Mbaga amewataka vijana wa kitanzania kutokukata tamaa ametoa wito Kwa TIA waendelee kutoa semina izi mala kwa mala
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Saturday, 1 February 2020
TAULA YAJIVUNIA MAMBO MAZITO
Katika kuazimisha miaka 30 tangu kuanzishwa Chama cha mawakiri wanawake (TAULA) wamepata mafanikio ikiwemo kushirikiana na serikali wameweza kubadilisha Sheria kandamizi ikiwemo Sheria ya wanawake kumiliki ardhi wameweza kutoa elimu Kwa jamii ka
tika kutambua haki zao kutetea haki za wanawake waliokumbwa na ukatili wa kijinsia
Rightness Rimos ni wakiri wa TAULA Chama cha mawakiri wanawake kinajivunia kwakupeleka idadi ya mawakiri wanawake kuongezeka ukilinganisha na mwaka 1990 TAULA ilipoanzishwa ambako mawakiri wanawake walikuwa wachache ambako Chama hiki kinapatikana Dar es salaam,Arusha, Tanga,Mwanza na Dodoma
Nawanampango wa wa kufunguwa Tawi jingine Mbeya na kwamwaka wanatoa msaada wa kisheria Kwa watu laki moja katika ofisi zote tano maswala ya ndoa ,mirathi na kesi za watoto ni malalamiko ambayo yanajitokeza Kwa wingi na izo ndio changamoto TAULA wanazokutana nazo kukosekana ushaidi Kwa vielelezo Mira na destuli zinaminya haki za raia kwenye mirathi amewataka watanzania kutembelea Banda la TAULA kwaajili ya kupata msaada wa kisheria bule kuanzia tarehe1mwezi wa pili2020 Hadi tarehe6 ya mwezi wa pili 2020 amesema Aya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam
Habari picha na Ally Thabiti
tika kutambua haki zao kutetea haki za wanawake waliokumbwa na ukatili wa kijinsia
Rightness Rimos ni wakiri wa TAULA Chama cha mawakiri wanawake kinajivunia kwakupeleka idadi ya mawakiri wanawake kuongezeka ukilinganisha na mwaka 1990 TAULA ilipoanzishwa ambako mawakiri wanawake walikuwa wachache ambako Chama hiki kinapatikana Dar es salaam,Arusha, Tanga,Mwanza na Dodoma
Nawanampango wa wa kufunguwa Tawi jingine Mbeya na kwamwaka wanatoa msaada wa kisheria Kwa watu laki moja katika ofisi zote tano maswala ya ndoa ,mirathi na kesi za watoto ni malalamiko ambayo yanajitokeza Kwa wingi na izo ndio changamoto TAULA wanazokutana nazo kukosekana ushaidi Kwa vielelezo Mira na destuli zinaminya haki za raia kwenye mirathi amewataka watanzania kutembelea Banda la TAULA kwaajili ya kupata msaada wa kisheria bule kuanzia tarehe1mwezi wa pili2020 Hadi tarehe6 ya mwezi wa pili 2020 amesema Aya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam
Habari picha na Ally Thabiti
CHAMA CHA MAWAKIRI CHAWATOA OFU WATANZANIA
Mwenyekiti wa Chama cha mawakiri mkoa wa dar es salaam (TLS) Imanueli Muga amewataka watanzania kuwatumia mawakiri kwenye kesi zao ili waweze kujuwa kanuni,Sheria na taratibu pia amewatoa ofu Kwa kuwaambia kuwa mawakiri awana gharama ametoa wito Kwa mawakiri kutoweka pesa nyingi kwa wateja wao
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Subscribe to:
Posts (Atom)