Mkurungezi Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya East Africa and Human Rights Institute amesema Thrdc wamefanya jambo zuri na jema katika kuweka nguvu za pamoja juu ya kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya watoto .
Pia amewataka watetezi wa haki za watoto kutumia vyema mafunzo yalioanza tarehe 31 /7/2024 na kumalizika tarehe 1/8/2024 wayatumie vizuri katika kutokomeza ukatili dhidi ya watoto na ukandamizwaji wa haki za watoto.
Mafunzo haya yamejumuishwa watetezi wa haki za watoto tanzania nzima ambako yamefanyika jijini dar es salaam wilaya ya ubungo kwenye shule ya sheria.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment