Katibu wa Mbio za Pole Kata ya Vingunguti (VIJOVI) amesema wameamuwa kupanda miti lengo kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ,Amempongeza Naibu Waziri wa Wizara ya Mazingira chini ya Ofisi ya Makamu wa rais kwa kushirikiana nae katika upandaji wa miti kata ya vingunguti na kukimbia nae pamoja kwenye mbio za pole.
Ametoa wito kwa wanasiasa kutowatumia wakimbiaji wa mbio za pole kipindi cha uchaguzi na badala yake ni vyema wawatumie na kushirikiana nao muda wote amesema haya eneo la vingunguti wilaya ya Ilala jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment