Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Niksoni Saimoni amesema katika kuimarisha ulinzi na usalama kwa watu wenye Ualbino Wilaya ya kibaha inatoa elimu kwa jamii ya namna ya kuwalinda watu hawa .Pia mkuu wa wilaya ya kibaha amempongeza rais dkt Samia kwa kuweza kujenga barabara wilayani kibaha kwani imekuwa kichocheo kikubwa kwa kukuwa kwa uchumi wa mtu mmojammoja na kibaha yenyewe.
Ujenzi wa madarasa rais dkt Samia amejenga madarasa kuanzia elimu ya Awali,Msingi na Secondary ambako imewezesha wanafunzi kutokwenda kusoma umbali mrefu na upatikanaji wa maji safi na sarama ..amesema haya jijini Dsm wilayani ubungo kwenye kongamano la Sanaa pesa lililowakutanisha wasanii mbalimbali.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment