Mama Gradnes Mtetezi wa haki za Watoto amebainisha mambo yanayosabasha watoto kufanyiwa ukatili .Ugumu wa maisha
unaofanya wazazi kushindwa kufuatilia watoto wao,Uchu wa maharakani kwani watu wanaamini kufa kupeleka kiungo cha mtoto kutapelekea yeye kukaa madarani miaka mitano 5 ,Waganga wa kienyeji ambao wanapiga ramli chonganishi, tamaa ya kutaka Mali nyingi na utajili , kuwatelekeza watoto kwani wazazi wengi na walezi wamewatelekeza watoto wao na watoto kujiteka wenyewe.
Mama Gradnes ametoa rai kwa wanaharakati kutoa elimu ya mara kwa mara kwa jamii lengo jamii itambue wajibu wa kulinda na kutetea watoto amesema haya kwenye mafunzo ya siku mbili yalioanza tarehe 31 /7/2024 na kumalizika tarehe 1/8/2024 yalio andaliwa na THRDC ambayo yamejumuishwa na watetezi wa haki za watoto lengo watetezi wakatoe elimu na kupaza sauti juu ya haki za watoto amesema haya jijijini dar es salaam wilaya ya Ubungo kwenye Shule ya sheria .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment