Mgeni Rasimi Kwenye Mahafari ya ya Wanafunzi wa elimu ya Awali na shule ya msingi kwenye shule ya Ujenzi iliopo wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani eneo la Mkuranga Mjini Dr Tindwa amewapongeza Walimu,Wafanya kazi na Viongozi wa shule hii kwa ka'i kubwa na mzuri wanayoifanya ya kufundisha watoto kwani shule ya Ujenzi inaufahuru mzuri kuanzia shule ya Awali ,Msingi na Secondary .
Pia inawaandaa watoto ili waweze kujiajili na kujitegemea kimaisha pindi wanapomaliza shule amesema swala la shule ya ujenzi kuwasomesha bule watoto wasiojiweza ni jambo jema na zuri, ametoa wito kwa wazazi na walezi wawapeleke watoto wao shule ya ujenzi kwani watapata elimu bora,Malezi,watafundishwa maadili mema,nidhamu na pamoja na namna ya kumjua mungu.
Mgeni rasimi Dr Tindwa amesema ada ya shule ya ujeni ni nafuu amesema haya kwenye mahafari ya wanafunzi wa elimu ya Awali na Darasa la saba .
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment