Tuesday, 6 August 2024

NMB YAWATAKA WAKANDARASI WAZAWA KUCHANGAMKIA FURSA

Kiongozi wa Benki ya Nmb amesema lengo lao kuwakuza wakandarasi wa tanzania ili waweze kufanya miradi mikubwa ambako itawezesha kukuwa kwa ajira tanzania ,kukuwa kwa uchumi na kuwezesha pesa ya tanzania kubakia hapa nchini .

Nmb benki imeongeza kiwango cha mkopo kwa wakandarasi wazawa kutoka bilioni mbili nukta tano 2.5 mpaka bilioni tatu na kuweka kiwango kidogo cha riba  .amesisitiza kuwa nmb benki itaendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa wakandarasi wa kitanzania amesema haya nmb benki walipokutana na wakandarasi wazawa.

Habari picha na Ally Thabit  

No comments:

Post a Comment