Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shule ya St. Marks Peter Tadeo amesema shule ya St Marks inafundisha watoto vizuri na inazingatia mahadili mema kwa wanafunzi na inapokea wanafunzi wa dini zote kwa bei nafuu kuanzia elimu ya Awali ,Msingi na Secondary .
Tarehe16 / 9/2024 shule ya marks inapokea wanafunzi wa PRIFORM ONE kwa ada ya shilingi za kitanzania laki mbili na ishirini,shule ya St Marks ina mabweni kwaajili ya wanafunzi vilevile shule ya St Marks inapokea wanafunzi wanao amia amesema haya kwenye mahafari ya elimu ya awali ambako huu ni mwaka wa tatu na mahafari ya darasa la saba ambako huu ni mwaka wa pili .
Shule ya St Marks inapatikana Wilayani Mkuranga mkoa wa pwani eneo la mwandege .
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment