Monday, 12 August 2024

SHULE YA UJENZI MAMBO MAKUBWA YAIBULIWA

 Mkurugenzi Mtendaji Peter amesema Shule ya Ujenzi iliyopo Mkuranga Mjini kwenye mitihani ya taifa kuanzia dadasa 4 darasa 7 na kwa Secondary kwa kifato cha pili 2 na cha nne 4 ufahuru unakuwa mkubwa na mzuri kwa wanafunzi, Siri kubwa ni ufundishaji mahiri na unaozingatia mitahara bora ya elimu, nidham,maadili, mafundisho ya dini haya ni mambo yanayozingatiwa pindi mwanafunzi anapojiunga na shile ya Ujenzi iliyopo Mkuranga mjini. 

Vilevile ulinzi na usalama kwa watoto umeimarishwa na unazingatiwa kwa kiasi kikubwa . Mkurugenzi Mkuu mtendaji  Peter amesema watoto wanaojiunga na elimu ya Awali ufahuru wao ni mkubwa ametoa wito kwa wazazi na walezi wahakikishe wanawapeleka watoto wao kwenye shule ya ujenzi kwani gharama zao ni nafuu  na watoto watapata elimu ya maisha na darasani.

Ambako mtoto akimaliza shule anauwezo wa kujitegemea na kujiajili amesema haya kwenye mahafari ya wanafunzi wa shule ya Awali na darasa  la saba yaliofanyika shule ya msingi ujenzi iliopo mkuranga mjini  mkoa wa pwani.

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment