Mkuu wa Shule ya Ujenzi amesma Wataendelea Kutoa Elimu bora kwa wanafunzi kuanzia elimu ya Awali ,Msingi na Secondary .Swala la nidhamu na maadili pamoja na ulinzi na usalama kwa wanafunzi kwenye shule ya ujenzi ndio kipaumbele Chao.
Amesema shule ya ujenzi katika mitihani ya taifa kuanzia Msingi na Secondary wanafanya vizuri kila mwaka hivyo anawataka wazazi na walezi wawafikishe watoto wao kwenye shule ya Ujenzi iliyopo wilaya ya mkoa wa pwani eneo la mkuranga mjini.
Amesisitiza kuwa shule ya ujenzi inazingatia ulinzi na usalama kwa wanafunzi wote pia inatoa elimu bila kujali dini,rangi,kabila na hitikadi yoyote shule ya ujenzi inatoa elimu kwa gharama nafuu tena mzazi au mlezi analipa kwa awamu nne amesema haya kwenye mahafari ya elimu ya Awali na darasa la saba .
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment