Tuesday, 6 August 2024

SHULE YA ST.MARKS INATOA ELIMU YA VIWANGO VYA JUU

 Mwenyekiti wa Ccm Wilaya ya Mkuranga Juma Saidi Maghahira anawata wazazi na walezi wawapeleke watoto wao kwe ye shule ya St. Marks kwani elimu wanayotoa inaubora na viwango vya kimataifa  pia inazingatia elimu bora ,maadili, Ulinzi na usalama amesema haya kwenye mahafari ya tatu kwa wanafunzi wa Awali na mahafari ya pili kwa darasa la saba shule ya St Marks. 

Habari na Ally Thabit. 

No comments:

Post a Comment