Afisa mazingira kutoka halmashauri ya Kinondoni ARUBATI MGEBUSO amewataka wananchi wa kinondoni na watanzania kwa ujumla kufuata na kuzitekeleza sheria za utunzaji wa mazingira ili kuwa na mazingira safi , bora na salama kwaajili ya afya zetu . amesema mafunzo alioyapata kutoka baraza la mazingira [NEMKI] atayatumia katika kuelimisha jamii
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Tuesday, 31 October 2017
UBUNGO YAIPA TANO BARAZA LA MAZINGIRA
Afisa mazingira kutoka halmashauri ya Ubungo EZRA GUYA amesema kutokana na mabadiliko ya kiteknorojia katika uchafuzi wa mazingira mafunzo anayo yapata kutoka baraza la mazingira [NEMKI] yatamuwezesha kukabiliana na uchafuzi wa mazingira waaina yeyote . amesema viwanda vilivyojengwa kwenye makazi ya watu katika halmashauri ya Ubungo ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira katika jamii .Pia maji taka na kelele mbalimbali ni vyanzo vikuu vya uchafuzi wa mazingira
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MIPANGO MIJI MIBOVU NIKIKWAZO CHA USAFISHAJI MAZINGIRA
Afisa mazingira wa halmashauri ya Ilala NEEMA SITA MAJIJA amesema wao Ilala wanakabiliwa na tatizo la ujengwaji nyumba bila mpangilio ivyo ni kikwazo kikubwa kwao pindi wapoenda kusafisha mazingira . kwani magari mengi ayafiki maeneo usika
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANANCHI WA TEMEKE KUNUFAIKA NA ELIMU YA MAZINGIRA
MOTONGORI CHACHA afisa mazingira kutoka wilaya ya Temeke amesema mafunzo alioyapata kutoka baraza la mazingira [NEMKI] atatumia kwa kuelimisha wakazi wa Temeke ili waepukane na uchafuzi wa mazingira
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
AFISA MAZINGIRA WA KIGAMBONI ANENA MANENO MAZITO
KIARUZI afisa mazingira wilaya ya kigamboni amewataka wananchi wa kigamboni watunze mazingira yao juu ya uchafu.Lengo wawe na afya bora ili wakuze uchumi wao na Taifa .pia itasaidia serikali pesa za madawa kupeleka kwenye maendeleo mengine ya Taifa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
UCHAFUZI WA MAZINGIRA WAUNDIWA MIKAKATI MIZITO
Mkurugenzi mtendaji wa uzingatiaji na utekelezaji wa sheria ya mazingira NEMKI RUTHI RUGWISHA amesema wameamuwa kutoa mafunzo na mbinu za kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa maafisa mazingira katika halmashauri hapa nchini . Lengo kuondoa na kutokomeza uchafuzi wa mazingira amesema haya kwenye mafunzo ya maafisa mazingira wilaya ya kinondoni eneo la makumbusho jijini Dar es salaam .washiriki 33 kutoka kwenye halmashauri zote jijini Dar es salaam zote5 zimeshiriki. ametoa rai kwa washiriki kutumia mafunzo aya katika kutunza nakuboresha mazingira na kusimamia sheria ya mazingira kwa uweredi zaidi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
YANGA YAWAPOKONYA TONGE MDOMONI SIMBA
Mashabiki wa Yanga wakishangilia baada ya CHIRWA kusawazisha gori kwenye timu ya simba katika uwanja wa uhuru
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TIMU YA SIMBA YAJIMWAYA MWAYA
Pichani mashabiki wa timu ya simba wakishangilia goli lililofungwa dhidi ya Yanga na KICHUYA katika uwanja wa uhuru
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TFS NI SHIDA NCHINI TANZANIA
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbarari KIVUMA HAMISI MSANGI amesema TFS ndio chanzo kikubwa cha uharibifu wa misitu katika halmashauri .ivyo ameiomba serikali ifute TFS
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
STENDI NI KIKWAZO CHA KODI MJINI MOSHI
Mbunge wa Moshi mjini JAFARI MAIKO ameiomba serikali iwatengenezee stendi kubwa ya mabasi ya Moshi mjini ili waweze kukusanya kodi nyingi kwaajili ya kuendeleza miradi mbalimbali. Pia ameitaka serikali inapotunga sheria iwashilikishe wadau mbalimbali lengo ziwe rafiki na zitekelezeke
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI JAFU ATOA MAAGIZO MAZITO
Waziri wa serikali za mitaa[TAMISEMI] amewaagiza wakurugenzi,mameya na wenyeviti wa halmashauri kutumia vizuri fedha zilizotolewa na serikali kwaajili ya maendeleo . pia amewataka kusimamia vifaa tiba na dawa zinazosambazwa kwenye halmashauri hapa nchini . amesema aya kwenye mkutano mkuu wa 33 wa ALAT
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Monday, 30 October 2017
MKURUGENZI WA BARAZA LA SANAA AMSHITAKIA WAZIRI
Mkurugenzi mtendaji wa baraza la sanaa nchini Tanzania [BASATA] MARTINI KAYANDA amemwambia waziri MWAKIEMBE kuwa wasanii wanatapeliwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha maisha yao kuwa duni . na badala yake wanaonufaika na kazi zao ni matapeli
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BASATA YAKATA NGEBE ZA WASANII
Baraza la sanaa nchini Tanzania[BASATA] limeamuwa kuwakutanisha wasanii na waziri MWAKIEMBE lengo waeleze changamoto zinazowakabili ili zipatiwe ufumbuzi au majawabu ya kutosha na kuwafungulia mirango wasanii kwa waziri MWAKIEMBE . haya yamesemwa na afisa habari wa Basata
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MSANII WA SANAA ATOA NENO ZITO
Msanii WILISONI WISO ameitaka jamii ya kitanzania kuenzi sanaa za michoro kwani inatija kubwa kwa jamii na Taifa kwa kukuza pato la kifedha. Pia ameiomba serikali iwatumie wasanii wa michoro katika kutengeneza viwanda kwani viwanda vya michoro vinalipa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MSANII NGURI AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAZIRI
Mzee JANGARA ni msani nguri amemuomba waziri wa sanaa,michezo ,habari na utamaduni waziri MWAKIEMBE awaboreshee maslai na awatengenezee mazingira ya kupata staiki zao kwa kazi walizofanya miaka ya zamani. amesema haya kwenye jukwaa la sanaa lililoandaliwa na Basata ambako waziri MWAKIEMBE mgeni rasmi uwanja wa Taifa wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MISITU HATARINI KUTOWEKA NA KUANGAMIA
Mkurugenzi tendaji wa shirika la misitu barani Afrika GODIWINI KOWERO amesema kutokana na mafunzo yanayotolewa vyuoni barani Afrika kuna hatari kubwa ya kuangamia kwa misitu .Ivyo wameamuwa kuja na mitaara mipya ya kufundisha mavyuoni lengo kunusuru misitu ya bara la Afrika
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
UTUNZAJI WA MISITU KUNUSURU KILIMO
Dokta WILISONI KASORO amesema tukizuia ukataji wa miti ovyo utasaidia kwa kiasi kikubwa kuto momonyoka kwa ardhi .ivyo kutawezesha kuwepo kwa ardhi yenye rutuba na kupatikana kwa mvuwa za uakika na atimaye kutakuwepo na mavuno ya kutosha
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KAMPUNI YA VODACOM YAJA KIVINGINE
Moja ya viongozi wa Vodacom amesema kampuni yao ya Vodacom imeweza kufanya vizuri katika soko la isa. Pia wameweza kuchagua viongozi huru akiwemo mama MAGRETI KONGO na mwanamke mmoja kutoka Kenya na Afrika kusini. pia amewapongeza wanaisa kujitokeza kwa wingi nkwenye mkutano wao mkuu wa isa .kwani hii ni chachu ya mafanikio na maendeleo makubwa ya kampuni yao ya Vodacom . na inaonyesha wanakubalika kwa kiasi kikubwa na kuaminiwa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA KUJAZWA MATIRIONI YA PESA
Mwenyekiti wa kampuni ya Vodacom ALLY MAFURUKI amesema kiasi cha shilingi Tirioni 26 watawapa watanzania kwa njia ya gawio .Lengo kuwafuta jasho wanaisa wa Vodacom na watumiaji wa Vodacom amesema haya kwenye mkutano mkuu wa wanaisa ambao umefanyika wilaya ya Temeke kwenye uwanja wa mpira wa Taifa jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANAWAKE WAPIGWA JEKI KIUCHUMI
Muadhiri mwandamizi kutoka taasisi ya sayansi ya bahari NARRIMAN JIDDAWI amesema wanasaidia wanawake kwa kiasi kikubwa katika kujikwamuwa kiuchumi kwa kuwafundisha wanawake jinsi ya kutumia mikoko,matumbawe,pomboo,na kulima lulu kwa kuwauzia watalii ili wajikwamuwe kiuchumi.
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TANZANIA YA VIWANDA KUNASULIWA NA TAFITI
Mwenyekiti wa maandalizi wa mkutano wa wanajumuiya wa wanasansi Prof YUNUSI MGAYA amesema mkutano huu wa 10 ambao umejumuisha wanajumuiya wa kisansi utajadili tafiti mbalimbali zilizofanyika katika bahari ya Indi. ambako utasaidia kwa kiasi kikubwa Tanzania kufikia Tanzania ya viwanda . Kwani tafiti za gesi zitasaidia kuendesha viwanda vyetu na tafiti za samaki zitasaidia kuanzishwa kwa viwanda vya kuchakata samaki hapa nchini . amesema haya kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa mwalimu Nyerere posta jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SERIKALI KUWAONDOWA VIJANA KWENYE WIMBI LA UMASIKINI
Mbunge wa viti maalum Andeni vijijini MBONI MLITA amesema serikali imeamuwa kurasimisha shuuri ambazo sio rasmi kuwa rasmi .Lengo vijana wajiajili na kuwaajili wenzao ili wajikwamue na wimbi la umasikini .amesema haya wilaya ya Temeke viwanja vya chuo cha Duce jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
CHANGAMOTO ZA WANAFUNZI ZAPATIWA UFUMBUZI
Mratibu wa miradi mashuleni NOERE MAODHI amesma wameamuwa kupeleka miradi kwa wanafunzi kwenye shule za secondary mbalimbali. Lengo kuwajengea uwezo wanafunzi ili kuvumbuwa vipaji vyao na kuviendeleza baada ya kumaliza elimu ya secondary. Pia kuwafanya wanafunzi wajitolee katika kwa kupitia vipaji vyao kazi hii imeanza mwezi wa tatu mwaka2017 na kumalizika mwezi wa kumi .kwa kujumuisha shule 50 za secondary na shule 12 zimepata tuzo kati ya shule 50 .wakipata wazamini wa kutosha wataelekea mikoani Pia wameishukuru serikali kwa kuwaluusu kupeleka miradi hii mashuleni
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WANAFUNZI WATIWA MOYO
Kijana ANTONI amewataka wanafunzi wa kitanzania wasikate tamaa na badala yake wachangamkie fursa za miradi zinazoletwa na taasisi mbalimbali .Ivyo watafanikiwa katika maisha yao katika kujiajili amesema haya kwenye viwanja vya chuo cha Duce wilaya ya Temeke wakati wa taasisi ya GREAT HOP walipotoa zawadi kwa shule zilizofanya vizuri katika miradi waliopeleka kwenye shule izi .Mfano ufugaji wa kuku na utengenezaji wa sabuni pamoja na keki
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANAFUNZI WAONYESHA UWEZO WAO
Mwanafunzi wa shule secondary ya Tambaza wa kidato cha tano TATU AMEDI amesema wameonyesha uwezo mkubwa katika kutoa elimu ya uzazi kwa wanafunzi wenzao. kupitia taasisi ya GREAT HOP ivyo wamewasaidia wanafunzi wenzao kuepukana na mimba za utotoni pia ameipongeza taasisi hii kwa kuleta mradi huu
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Monday, 23 October 2017
WATU WA VIWANDA WATAKIWA KUUNDA KAMATI MADHUBUTI
Kiongozi kutoka osha amewataka watu wenye viwanda kuunda kamati za afya kwaajili ya wafanyakazi wao ili iwasaidie pindi watakapo pata ajali kazini
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SEKTA BINAFSI KUMUOKOA RAIS MAGUFULI
Kiongozi wa sekta binafsi JEMSI SIMBEYI amewataka wafanya biashara wa kitanzania kwenda na kasi ya rais MAGUFULI ili wajenge viwanda vingi kwani wakifanya hivi watamsaidia rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI MAKAMU WA RAIS
Makamu wa rais mama SAMIA SURUHU HASANI akitoa zawadi kwa makampuni ya utalii na kuwataka wawe chachu ya maendeleo
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
ZANZIBAR YAWATOA OFU NA MASHAKA WATALII
Mkurugenzi wa bodi ya utalii visiwani Zanzibar amewataka watalii watembelee kwenye vivutio vyao kwani ni vizuri na kuna usalama wa kutosha
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA WAASWA JUU YA UJENZI
Moja ya viongozi wa bodi ya usajili wa wabunifu majengo na wakadiliaji majenzi amewataka watanzania wawatumie kwaajili ya ujenzi wa majengo yao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAIGIZAJI WATAADHARISHWA
Mwanafunzi wa chuo cha sanaa Bagamoyo amewaonya waigizaji katika matumizi ya rugha na mavazi wanayo vaa kwani ayaendani na maadili ya kitanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
VIWANDA KUJA TANZANIA
Kiongozi wa kampuni ya vinyago amesema safari wanazoenda wafanya biashara wa kitanzania nchini China zitaleta viwanda vingi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
CHADEMA YASEMA KATIBA MPYA NI KIZA KIZITO
Prof MWESIGA kutoka CHADEMA amesema swala la katiba mpya imekuwa nikiza kinene kwasababu rais MAGUFULI sio kipaumbele chake
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KATIBU MWENEZI WA CCM ASAMBAZA SUMU NZITO
Katibu mwenezi wa CCM AMFREY POLEPOLE amewataka watanzania waachane na mawazo ya mchakato na ujio wa katiba mpya kwani sasa ni muda wa kuinyoosha nchi tu na badala yake watu wauishi ukatatiba
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KATIBU MWENEZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO AIPIGA KIJEMBE CCM
Katibu mwenezi wa chama cha ACT WAZALENDO ADO SHAIBU amekitaka chama cha mapinduzi CCM kiache kung'ang'ania katiba iyopo pia amemtaka rais MAGUFULI aendeleze mchakato wa katiba mpya
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
UCHUMI WA TANZANIA WAPAA KILELENI
Kiongozi kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania amesema uchumi wa Tanzania kwasasa umekuwa kwa asilimia 4.3 ukilinganisha na kipindi kilichopita . vyakula vya nafaka,mkaa,gesi na vinywaji vimepanda na kuwezesha kukua uchumi wa nchi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
TAASISI YA UONGOZI YATOA DOZI NZITO KWA WAKURUGENZI NA MAMEYA
Mwezeshaji kutoka taasisi ya Uongozi ZAINABU MURO akiwapa mafunzo wakurugenzi ,mameya pamoja na wenyeviti kuusu uongozi kwenye mkutano mkuu wa ALAT
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WILAYA YA KILINDI KULETA MAAJABU
PICHANI WAFANYA BIASHARA WA KITANZANIA
Hawa ndio wafanya biashara wa kitanzania walioenda China kwaajili ya mafunzo ya viwanda
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
ZITO KABWE ATOA MANENO MAZITO JUU YA BILIONI MIA 700
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO ZITO ZUBERY KABWE ameionya serikali waache kuwadanganya watanzania kuusu kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Barki.kwani akuna ukweli wa kulipwa bilioni mia700 pia amewaonya waandishi wa habari kuacha mara moja kusambaza taarifa za uongo kuusu kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Barki . Pia amesema takwimu zinazotolewa na BOT pamoja na TRA ni za kupikwa kwani uchumi wa Tanzania unazidi kuporomoka siku adi siku
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
CHAMA CHA ACT WAZALENDO CHAWAKOMBOA WAKULIMA WA ZANZIBAR
Chama cha ACT WAZALENDO chasaidia kwa kiasi kikubwa wakulima wa karafuu visiwani Zanzibar eneo la Pemba kulejeshewa mashamba yao 86 ya Karafuu ambayo alikuwa yameshikiliwa na waziri wa kilimo wa Zanziber HAMADI RASHIDI
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MABENKI YATAKIWA KUCHANGAMKIA WA KABAMBE
Mkurugenzi wa chama cha wenye mabenki Tanzania TUSE JUMBE amewataka wenye mabenki watumie mfumo wa kusoma kwa kutumia mtandao wa simu au komputer kwani unafaida ya kutunza mda,gharama,na kusoma kwa uhuru.Pia amewataka wafanyakazi wa kwenye mabenki kusoma na kujifunza kwa kutumia mitandao. Lengo la kuleta mfumo huu wenye mabenki wawe na wafanyakazi wengi wenye ujuzi mkubwa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
BASATA YATEMA CHECHE KWA WASANII
Mkurugenzi wa baraza la sanaa nchini Tanzania amewataka wasanii kutunga na kuimba nyimbo zenye maadili
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AIPA TANO UN
Naibu waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania ameipongeza UN kwa kuleta maendeleo nchini Tanzania na kupeleka miradi mikubwa mkoani Kigoma . serikali ya Tanzania imewaakikishia ushirikiano mwema
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
UN YAJA KIVINGINE MIAKA 72
Mwakirishi mkazi wa UN nchini Tanzania amesema miaka 72 watakayo azimisha tarehe 24 mwezi 10 mwaka 2017 wanajivunia kwa kuleta mafanikio makubwa kwenye jamii ya kitanzania kwa kukuza uchumi, kuboresha afya,miundombinu na elimu. Ivyo amewaaidi watanzania watashirikiana nao bega kwa bega.Lengo kuleta mabadiliko zaidi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Subscribe to:
Posts (Atom)