Monday, 23 October 2017

WATANZANIA WATOLEWA OFU JUU YA KANSA

Naibu waziri wa afya FAUSTINI NDUNGULILE  amewataka watanzania waende wakapate tiba ya kansa kwani ni bule na vifaa vipo vya  kutosha pamoja na dawa

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment