Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya utalii [TANAPA] WILIAM RULE amesema wataakikisha utalii utasaidia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa pesa hapa nchini . kwa kuwaleta watalii toka nchi mbalimbali . Pia WILIAM RELE amewataka watanzania kutembelea vituo vya utalii ikiwemo Bagamoyo na sehemu zingine
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment