Naibu waziri wa wizara ya ardhi ANJERA MABURA amewataka wananchi waishio mabondeni na kandokando ya vyanzo vya maji waame na watoke mara moja kabla serikali aijachukuwa hatuwa . ametoa rai kwa wananchi wajenge nyumba zao kwa kufuata mipango miji. amesema haya kwenye siku ya mipango miji viwanja vya Karim jee posta jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment