Mwenyekiti wa maandalizi wa mkutano wa wanajumuiya wa wanasansi Prof YUNUSI MGAYA amesema mkutano huu wa 10 ambao umejumuisha wanajumuiya wa kisansi utajadili tafiti mbalimbali zilizofanyika katika bahari ya Indi. ambako utasaidia kwa kiasi kikubwa Tanzania kufikia Tanzania ya viwanda . Kwani tafiti za gesi zitasaidia kuendesha viwanda vyetu na tafiti za samaki zitasaidia kuanzishwa kwa viwanda vya kuchakata samaki hapa nchini . amesema haya kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa mwalimu Nyerere posta jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment