Moja ya viongozi wa Vodacom amesema kampuni yao ya Vodacom imeweza kufanya vizuri katika soko la isa. Pia wameweza kuchagua viongozi huru akiwemo mama MAGRETI KONGO na mwanamke mmoja kutoka Kenya na Afrika kusini. pia amewapongeza wanaisa kujitokeza kwa wingi nkwenye mkutano wao mkuu wa isa .kwani hii ni chachu ya mafanikio na maendeleo makubwa ya kampuni yao ya Vodacom . na inaonyesha wanakubalika kwa kiasi kikubwa na kuaminiwa
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment