Amesema viguta ni muunganiko wa wa vikoba vyote nchini Tanzania vinavyosaidia wanawake kuinuka kiuchumi wakitumia fursa zilizopo kama ujasriamali kununua maeneo kuwajengea nyumba kwa gharama nafuu ili kuwezesha kila mwanamke asiwe tegemezi ajishulishe
Kwa upande wa ulipaji anatakiwa mtu kuwa muaminifu kwa kulipa kidogokidogo atakapomaliza deni ndio atakabidhiwa hati nmiliki ya nyumba watu wanatakiwa wawe na muamko wito kwa jamii kila mtu awe na nyumba
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment