Amesema hayo wakati wakisaini mkataba waliopewa ufadhili wa kusoma na BAKRCLAYS wanafunzi wapatao 23 wanatakiwa kuwa wazalendo wa nchi yao kwani hii ni fursa ya pekee kwa nchi kuweza kuwasaidia vijana wanafunzi
Kwa upande mwingine amewashukuru hawa wafadhili kuendelea kuwa na moyo na makampuni mengine pamoja na sekta binafsi kuiga mfano huu
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment