Mwenyekiti wa ALAT Taifa GURAM amesema jumuiya ya tawala za mitaa Tanzania [ALAT] wana muunga mkono rais MAGUFULI kwa kulinda, kutetea na kusimamia rasilimali za Tanzania na utumbuaji wa majipu kwa mafisadi .amewataka watanzania wawapuuze na kuwabeza wale wote wanaomkosoa na kumpinga rais MAGUFULI . amesema haya kwenye mkutano mkuu wa33 wa ALAT Taifa unaofanyika ukumbi wa mwalimu Nyerere uliopo posta jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment