Mwenyekiti wa halmashauri ya mji Tarime ameitaka serikali kuu kutoingilia bajeti za halmashauri hapa nchini kwani miradi mingi inakwama na inashindwa kutekelezeka kwa sababu serikali kuu inaigilia bajeti za halmashauli . ikiwemo kuondowa kwa kodi mbalimbali,kutofikisha pesa kwa wakati na kutoa maagizo yasiyotekelezeka mara kwa mara. amesema haya kwenye mkutano mkuu wa 33 wa [ALAT] unaofanyika jijini Dar es salaam ukumbi wa mwalimu Nyerere uliopo posta
habari picha VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment