Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mbarali KIVUMA HAMISI MSANGI amewataka watanzania watumie nishati mbadara na waachane na matumizi ya mkaa .lengo kunusuru misitu yetu pia ameitaka serikali kutoa elimu kwa jamii juu ya matumizi ya gesi na ipunguze gharama ya matumizi ya gesi . kwani itasaidia kutunza misitu yetu na amewataka viongozi wa TFS kuwa kitu kimoja na maafsa misitu wa wilaya .pia ameeleza mpaka sasa wana viwanda 41 lengo kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda . amesema haya kwenye mkutano wa33 wa ALAT unaofanyika ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam uliopo posta
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment